Yamoto Band wakishirikiana na Wadogo zao Salamu TMK wameandaa wimbo huu wa kuhamasisha usafi katika jiji la Dar es Salaam kufatia kauli ya Rais John Pombe Magufuli na Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda.
Home
Unlabelled
Introducing "Dar ya Makonda" by Yamoto Band & Salamu TMK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi..jiji liwe safi...taa zifungwe mitaani na kwenye barabara za pembezoni mji uwake upendeze.
ReplyDeleteSafi saaana!!!
ReplyDeleteThe mdudu, bonge la ngoma safi sana vijana full talented, na muongoza video pongezi kwako kaza utafika mbali#DarbilaYauchafuInawezekana#tanzaniampyahiyoyaja
ReplyDelete