Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeneo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu uliopita kwa tiketi ya chama hicho na kuungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa akisalimiana na viongozi wa walemavu wilayani Monduli kwenye Mkutano wa kwanza wa kuimarisha chama nchi nzima.
Home
Unlabelled
LOWASSA KUANZA MIKUTANO YA KUIMARISHA CHAMA NCHI NZIMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
fanyeni hiyo mikutano lakini ukweli kabisa siku ya kupiga kula CCM kama kawaida yao kidedea
ReplyDeleteUnamaanisha la mkono? kila lenye mwanzo halikosi mwisho......maandalizi ni muhimu.
ReplyDeleteSio la mkono, tunangalia kiongozi bora sio bora kiongozi. Kiongozi anayetufaa kwa mustakabali wa Taifa sio masrahi yake binafsi au kundi lake, au watu wachache bali mustakabali wa Taifa zima.
ReplyDelete