Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeneo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu uliopita kwa tiketi ya chama hicho na kuungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa akisalimiana na viongozi wa walemavu wilayani Monduli kwenye Mkutano wa kwanza wa kuimarisha chama nchi nzima.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2016

    fanyeni hiyo mikutano lakini ukweli kabisa siku ya kupiga kula CCM kama kawaida yao kidedea

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2016

    Unamaanisha la mkono? kila lenye mwanzo halikosi mwisho......maandalizi ni muhimu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2016

    Sio la mkono, tunangalia kiongozi bora sio bora kiongozi. Kiongozi anayetufaa kwa mustakabali wa Taifa sio masrahi yake binafsi au kundi lake, au watu wachache bali mustakabali wa Taifa zima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...