Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha - Rose Migiro kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha - Rose Migiro ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...