Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, Dkt. Fatma Mrisho, akitoa neno la hitimisho na kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
Mkurugenzi
Idara ya maendeleo ya vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na
Ajira, James Kajugusi akifunga rasmi mkutano wa mkutano wa kitaifa wa
mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016
Wadau wa shughuli za UKIMWI kwa vijana, wakiwa kwenye mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
Baadhi ya washiriki walio kabidhiwa vyeti vya ushiriki wakati wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana, wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo. May, 2016.Picha kwa hisani ya TACAIDS.


Ni kweli vijana wa sasa hivi wanaweza kubadilishwa maadili na vyombo vya mawasiliano vinavyowazunguka ikiwemo mitandao katika simu, sinema, matangazo ya biashara na maisha ya haraka yanayowafanya wazazi wasiwepo wakati mwingi katika yao.
ReplyDeleteWasipokuwa makini kujua uhalisia wa maisha wanajikuta wameathirika katika umri mdogo vyombo vya mawasiliano ikiwemo sinema mitandao, wazazi kuwaeleza ukweli wa maisha vitumike kurudisha maadili ili vijana wengi wasiathirike na ugonjwa wa ukimwi.