Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, Dkt. Fatma Mrisho, akitoa neno la hitimisho na kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
 Mkurugenzi Idara ya maendeleo ya vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na Ajira, James Kajugusi akifunga rasmi mkutano wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016
 Wadau wa shughuli za UKIMWI kwa vijana, wakiwa kwenye mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
Baadhi ya washiriki walio kabidhiwa vyeti vya ushiriki wakati wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana, wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo. May, 2016.Picha kwa hisani ya TACAIDS.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2016

    Ni kweli vijana wa sasa hivi wanaweza kubadilishwa maadili na vyombo vya mawasiliano vinavyowazunguka ikiwemo mitandao katika simu, sinema, matangazo ya biashara na maisha ya haraka yanayowafanya wazazi wasiwepo wakati mwingi katika yao.

    Wasipokuwa makini kujua uhalisia wa maisha wanajikuta wameathirika katika umri mdogo vyombo vya mawasiliano ikiwemo sinema mitandao, wazazi kuwaeleza ukweli wa maisha vitumike kurudisha maadili ili vijana wengi wasiathirike na ugonjwa wa ukimwi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...