Baadhi ya Wadau wa utalii wanaojihusisha na kutoa huduma mbalimbali za malazi na usafiri kwenye maeneo ya vivutio vilivyopo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania, wamehudhuria semina kuhusu namna watakavyoweza kushirikiana kuvitangaza vivutio hivyo.
Washiriki wa semina hii iliyoandaliwa na Udzungwa Falls Lodge, waliipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa kuweza kuanzisha tovuti “Tourism Destination Portal” inayotoa fursa kwa mtalii kuweza kupata taarifa za utalii wa Tanzania, kufanya malipo ya malazi kupitia mfumo uliyounganishwa kwenye tovuti hiyo.
Akitoa ufafanuzi wakati wa semina iliyofanyika leo tarehe 14/5//2016.katika Ukumbi wa Mikutano wa Makumbusho ya Taifa, Msimamizi wa Mradi wa Tourism Destination Portal, Bw. Rossan Mduma aliwasisitizia wadau kushirikiana na Bodi katika kutangaza Utalii kwa njia ya TEHAMA pamoja na kuweka matangazo yao kwwenye tovuti hiyo.
wanaojihusisha na kutoa huduma mbalimbali za malazi na usafiri kwenye maeneo ya vivutio vilivyopo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania, leo hii tarehe wameshiriki semina ya siku moja iliyokusudia kujadili namna ya watakavyoweza kushirikiana katika kuutangaza utalii wa kanda ya kusini.

Msimamizi wa mradi wa “Tourism Destination Portal” Bw. Rossan Mduma akitoa maelezo kuhusu mradi huo.

Mmiliki wa Udzungwa Falls Lodge, Bw. Patric (katikati) akitoa neno la shukrani kwa washiriki wa semina hiyo na (kulia) Bi. Mackey Mbotto, Marketing and Sales Executive.

Ndau wa Utalii, Bw. Joel Samuel akifunga semna.

Washiriki wa Semina wakifuatilia maelezo yalikuwa yanatolea na Bw. Rossan Mduma

Endelea kutangaza vivutio vya utalii ukipamba vivutio tulivyonavyo kama wenzetu wanavyofanya, mfano come and enjoy a holiday of a lifetime in Tanzania.. where repeat visitors still find excitement.., we recognize the needs of our guests and seek to provide the best available service with state of the art facilities wifi and all a modern guest of a hotel would need.. , hotels with world class service paying attention to detail.. sit relax and enjoy the best service.. walk in the beach or in the park face to face with nature , one of the prestiogous hotels in the region with a serene environment .. lugha kama hizi huvutia zikimfanya mtu kutaka kupata huduma hizi, hii iende pamoja na watoa huduma kuboresha huduma zao. isije kuwa huduma mbovu halafu unazitanganza visivyo.
ReplyDelete