Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akimvisha nishani Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim kutokana na kutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam . (Picha na Francis Dande)
Balozi wa Cuba Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim hapo jana kabla ya kuvishwa nishani ya kuutambua mchango wake katika kudumisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Cuba, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2016

    Mpaka sasa sijaona Tanzania ikisherehekea mchnago wa Kuba katika maendeleo yake; ikiwa ni pamoja na ukombozi wa Afrika!

    Shirika la Utalii liwakaribishe angalau wakuba 10 waje kutalii nchini bure!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...