ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU 
Madrasat Rahman iliyopo Segerea mwisho, Dar es salaam  tunasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wetu marehem Bi.Salama Bint Juma Nyambi (pichani kushoto mwenye gauni la bluu na mtandio mweupe). Msiba upo Segerea mwisho kwenye mtaa wenye madrasat Rahman. Maziko  ni Jumamosi 18.7.2016

 Allah amlaze mahala pema peponi- Amiin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuna. Ulale pema peponi Bi Salama Bint Juma Nyambi na MOLA akughufirie kwa yote akupumzishe katika yake 'Jannatu Nnaeem' AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...