Pichani ni moja ya Kengele zilizopo katika Maeneo Mbalimbali ya Mji wa Chunya Mkoani Mbeya ambazo hutumika kama Mbiu ya Mgambo kuwajulisha Wakazi wa Mji huo mambo Mbalimbali hususani Msiba na Vikao vya Kijiji, Kengele hizo Pia zimetofautiana Milio kwani kila Kengele huwa inasikika kipekee kabisa na kuwapa utofauti Wakazi wa Mji huo kuwa ni wapi kuna Msiba nao hujumuika au tukio jingine kwa kusikia tofauti za milio wa kingele kwa siku hiyo.
Kengele ikiwa Imefungwa Juu ya Mti katika moja ya Eneo lililo teuliwa kufungwa Kengele hiyo na hapo ni Mji wa Zamani Chunya Mjini.
PICHA NA MR.PENGO MMG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...