Timu nzima ya Kampuni ya Michuzi Media Group (MMG) inawatakiwa Wadau wake wote popote pale mlipo, sikukuu njema ya Idd el Fitr na tuisherehekee kwa amani na mapenzi tele kama ilivyolekezwa katika vitabu vitukufu vya Dini.

IDD MUBARAK
MMG TEAM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. na kwako pia mkuu na familia yote ya watanzania

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2016

    Tunakushukuru kwa salam zako. Tumefurahi Mwenyezi Mungu kutuwezesha kumaliza swaumu yetu. Huku Ukerewe Ramadhani ilikuwa ngumu, kwani magharibi mwaka huu ilikuwa takriban saa nne kasorobo usiku.Nisalimie familia yako na jamaa wote hapo kazini.Life goes on, tunategemea kupokea high class libeneke which is your land-=mark.Allah awabarik
    ibrahim.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...