Taarifa iliyotukikia chumba chetu cha habari muda huu, inaeleza kuwa ajali mbali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani Singida na kupelekea vifo vya abiria 24 papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Akizungumza kwa njia ya kuelezea ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea majira ya saa nane mchana wa leo, ambayo inayahusisha mabasi ya Kampuni moja ya CITY BOYS ambalo moja lilikuwa likitoka Dar kwenda Kahama huku lingine likitoka Kahama kuelekea Dar. Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.






Kuna haja ya ku address root cause ya hizi aajali .Binafsi nadhani afuatayo yanachangia kwa namna moja au ingine;
ReplyDelete1. Ulevi
2. Incompetent drivers
3. Ubovu wa magari
4. Ubovu wa barabara
Kwa mtizamo wangu haya yote yako ndani ya uwezo wa Serikali.Nchi za Wenzetu wame chuki hatua kama Zifuatazo ili ku control ajali za kizembe.
1. Mandatory vehicle inspection every year.
2. Driver wa mabasi ya abiria kuwa na mafunzo maalum.
3.driver kufanyiwa vipimo vya ulevi.na adhabu yake ni suspension ya leseni ya driver mara apatikanapo na kosa hili. Etc
Sad loss of lives thru road carnage
ReplyDelete