SIMU.tv: Wakurugenzi wateule wajiweka tayari kwa ajili ya shughuli ya kiapo cha utii kwa umma na jamii ya watanzania wote; https://youtu.be/2Ehcm0i4yMg
SIMU.tv: Ni Kiapo cha uadilifu kwa umma kwa wakurugenzi wa halmashauri, majiji, miji na manispaa ambacho kitatolewa mbele ya rais Magufuli; https://youtu.be/08pLsG4HkyM
SIMU.tv: Mhe. Kassim Majaliwa awataka wakurugenzi wateule kujituma katika nafasi walizopewa na kuhakikisha wanashughulikia suala la madawati mashuleni; https://youtu.be/rr55PYSK5Ho
SIMU.tv: Makamo wa rais Mama Samia Suluhu awaasa wakurugenzi wateule kuwa makini katika masuala ya fedha ili ziweze kuwanufaisha watanzania wote; https://youtu.be/0GHzpMhGFdU
SIMU.tv: Rais John Magufuli azungumzia juu yataarifa zilizozagaa kuhusu mfanyakazi wa hotel anaedaiwa kuteuliwa kuwa mkurugenzi; https://youtu.be/YcMmMRJ5o1Y
SIMU.tv: Rais John Magufuli akiwataka wakurugenzi kwenda kufanya kazi ili kuendana na kauli mbiu ya serikali ya awamu ya 5 ya HAPA KAZI TU; https://youtu.be/HlJ5qFpflBo
SIMU.tv: Hotuba ya Rais John Magufuli kuhusu suala la viwanda huku kuwataka wakurugenzi kwenda kusimamia serikali vilivyo ili kufanikisha Tanzania ya uchumi wa viwanda; https://youtu.be/K6Fqwpyg6Nk
SIMU.tv: NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais Mhe. Suleiman Jafo akielezea namna serikali ya awamu ya tano ilivyojipanga kuwatumikia watanzania; https://youtu.be/BG-tEhk-
SIMU.tv: Zoezi la upigaji picha kwa rais na wakurugenzi wote wapya lafanyika huku nyuso zao zikitawala tasabamu la kwenda kuitumikia vema Tanzania; https://youtu.be/r6_kz0y0Gnc
SIMU.tv: Wakurugenzi wapya wakiwa na nyuso za hapa kazi tu watoa maoni mbalimbali ya namna watakavyoutumikia Umma; https://youtu.be/O78AJkqsoIU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...