Washiriki wa Mahusiano Cup wakiwa uwanjani wakisubiri kukaguliwa na mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu
Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Nyihogo
Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu alikagua timu ya mpira wa pete ya Mhungula
Meneja mkuu wa mgodi wa Buzwagi mhandisi Asa Mwaipopo akisalimiana na wachezaji wa Mhungula
Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mahusiano Cup.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...