Pamoja na eneo hili ni la wasomi na chuo cha elimu na biashara Dodoma na kipo jirani na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ila nje ya chuo hiki kuna uchafu huu uliotelekezwa hapo kwa muda sasa pasipo kutolewa hali ambayo ni hatari kwa afya za wanafunzi chuoni hapo ni taswira mbaya kwa chuo hicho
Mmoja kati ya wageni wa mji wa Dodoma akionyesha kwa kidole uchafu uliohifadhiwa nje ya chuo cha elimu na biashara (CBE) mjini Dodoma chuo ambacho kipo jirani na majengo ya bunge hii ni aibu kubwa kwa chuo kuwa na uchafu kiasi hiki (picha na MatukiodaimaBlog ) .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...