Kamera yetu ilipokuwa ikiangazia huko mtaani ilikumbana na taswira hii isio faa hata kwa kuigwa na jamii, Ona hapo mwenyewe mtu mzima ovyooo akijipatia mariwato huku watoto wakimnukuu na kumuiga hicho akifanyacho ambacho pia si rafiki na mazingira yetu, Hiki ni kijipu upele tena kimeivaa wahusika wa mambo hayaa mitaani huku vibao vilipotea nini au zile faini za kwanza kwanza zimewatosha.
Unahisi watoto hawa wanajifuza nini hapo juu ya tabia hii mbaya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...