Familia ya Marehemu Mpoki Bukuku, ikiwa imelizunguka Jeneza lenye mwili wake wakati wa ibada maalum ya Mazishi yake iliyofanyika mchana wa leo katika eneo la Makaburi ya familia yao, Msalato Mkoani Dodoma.
Jeneza lenye Mwili ya Marehemu Mpoki Bukuku likishushwa kaburini wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika mchana wa leo katika eneo la Makaburi ya familia yao, Msalato Mkoani Dodoma.
Mjane wa Marehemu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mumewe.
Mama Mzazi wa Marehemu akiweka shada la Maua
Watoto wa Marehemu. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...