Hatua ya Sada Almasi Shomary na mumewe Kazumari Malongo, harusi ilifanyika jijini Mwanza katika Msikiti wa Sheikh Amin Mtaa wa Rufiji na kufuatiwa na mnuso wa nguvu katika Hoteli ya Gold Grest jijini Mwanza
Bibi Harusi Sada Almasi Shomary akikata keki wakati wa mnuso uliofanyika katika Hoteli ya Gold Grest jijini Mwanza
Bi Harusi akizungumza jambo ukumbini humo mbele ya wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo
Bwana Harsi Kazumari Malongo akimvalisha pete ya ndoa mkewe Bi' Sada Almasi Shomary katika tafrija iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Grest jijini Mwanza
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...