Home
Unlabelled
tanzania national team uniform home and way by kajumulo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa mtazamo wangu sijapendezwa na design iliyofanywa ya kuchanganya rang, kwa mtazamo wangu walau wangekuwa na jezi tofauti ikiwa na rangi moja ikiakisi bendera ya taifa mfano blue iwe blue tu, kijanui iwe kijani tu, nyeusi iwe nyeusi tu, na nyeupe pia huo ndo muonekano mzuri wa njezi sio kutuchanganyia marangi
ReplyDeleteRangi zimekuwa nyingi sana. kazi nzuri ila iwe colour moja na suggest blue then ufito wa rangi za yellow and black zipite katika pindo la mkono mwishoni.
ReplyDeleteHaina tofauti na zamani marangi mengi sana, kiukweli jezi za taifa zinaboa sababu ya kuchanganya rangi, tafuteni rangi moja, kama suala ni hio bendera ya taifa inaweza wekwa kama nembo tu sehemu, angalieni jezi za wenzetu zinavyopendeza mjifunze.
ReplyDelete