Kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, wa kumteuwa Mhandisi Christopher Kajolo Chiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Mhe. Charles P. J. Mwijage (Mb), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ameteua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi;

a) Bibi Dorothy Stanley Mwanyika

b) Bwana Canuth Gallus Komba

c) Bwana Leo Mavika

d) Bwana Alfred Mapunda

e) Bwana Francis Abdallah Lukwaro
f) Bwana Geofrey Kirenga

f) Bwana Mkwale Adam Taib

g) Bwana Seif Said Issa

i) Bwana Mohamed Jaffar Jummanne

Uteuzi huu unaanza tarehe 17 Desemba, 2016

Prof. Adol F. Mkenda
KATIBU MKUU
BIASHARA NA UWEKEZAJI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...