Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi akiwasilisha mada iliyohusu mapendekezo ya mkakati wa pamoja wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu, katika mkutano wa Makatibu wakuu na wadau wa sekata ya mazingira ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu.
Kushoto Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Profesa Faustin Kamuzora akizungumza katika kikao cha Makatibu wakuu na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira, katika mkutano ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu. Mkutano huo wa ndani ulifanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam. (Picha na Evelyn Mkokoi).
Sehemu ya washiriki katika mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira uliohusuhusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...