Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Bi Tabu Shaibu akizungumza
wakati wa mkutano wa waandaishi wa Habari Leo Jijini Dar es salaam
kuhusu umuhimu wa wananchi kulipa kodi ya mabango ili kuchochea
maendeleo katika manispaa hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Sehemu ya Usalama
barabarani na mabango Manispaa ya Ilala Bw. James Batinagwa.
Afisa Uhusiano wa Manisapaa ya Ilala Bi Tabu Shaibu akifafanua kwa
waandishi wa Habari Leo Jijini Dar es salaam kuhusu mikakati ya
manispaa hiyo katika kuwaletea wananchi maendeleo. Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO bi Zamaradi Kawawa.
Mkuu wa Sehemu ya Usalama barabarani na mabango Manispaa ya
Ilala Bw. James Batinagwa (kushoto)akisisitiza kwa waandishi wa habari
(hawapo pichani) umuhimu wa kutii sheria bia shuruti kwa kulipa kodi ya
mabango kwa mujibu wa sheria na kanuni.katikati ni Afisa Uhusiano wa
Manispaa hiyo Bi Tabu Shaibu na kulia ni Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara
ya Habari MAELEZO bi Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa manispaa
ya Ilala na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam ulioenga kueleza
mikakati ya Manispaa hiyo katika kuwaletea wananchi maendeleo.
(Picha na Frank Mvungi-Maelezo)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...