Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
(Kulia), akipokea taarifa ya upembuzi yakinifu kuhusu uwekezaji katika miundombinu ya
Madaraja kutoka kwa Bw. Lord Clire Hollich (Kushoto) wa Ubalozi wa Uingereza,
katikati ni Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akijadiliana jambo na Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke (Kushoto), walipokutana Jijini Dar es Salaam leo hii. Katikati ni Bw. Lord Clire Hollich.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke (Kushoto), walipokutana Jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Bw. Lord Clire Hollich.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...