Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari Lundamatwe Kilolo |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akikagua vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Lundamatwe wilaya ya Kilolo |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Lundamatwe wilaya ya Kilolo. |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akikagua madaftari ya wanafunzi shule ya sekondari Lundamatwe wilaya ya kilolo wakati wa ziara yake |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akitembelea sehemu mbalimbali za shule ya sekondari Lundamatwe wilaya ya Kilolo wakati wa ziara yake. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...