Mwanasheria
toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare
Heche akionesha kwa waandishi wa habari moja ya pombe kali aina ya Nguvu
zilizokamatwa wakati wa operesheni inayoendelea mapema leo hii jijini
Dar es Salaam wakati wa siku ya nne ya operesheni ya kusaka wasambazaji
wa kinywaji hicho ambacho Serikali imepiga marufuku kutumika.
Msimamizi
wa ghala la Love kira Enterprises lililopo Wazo Bi. Sia Mboya
(kushoto) akitoa maelekezo kwa Mwanasheria toka Baraza la Taifa la
Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche (katikati) wakati wa
operesheni ya kuondoa pombe hiyo katika soko, kulia ni Afisa Afya toka
Manispaa ya Kinondoni Bw. John Kijumbe.
Gari lililokutwa limebeba pombe kali aina ya kiroba original likiwa
limeegeshwa nje ya duka kuuza vinywaji la Love Kira lililopo Wazo jijini
Dar es Salaam mapema hii leo.
BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI
BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...