Baada ya kuwasilishwa ripoti ya utafiti ya usikivu na kukubalika, ZENJ FM kwa Pemba, Unguja, Handeni, Dar es Salaam na Bagamoyo na wafanyakazi wa BBC Media Action, ikapigwa picha ya pamoja.
Waliosimama kutoka kushoto Mwita Mwaikenda,Ramadhani Tuwa, Alice Mbelwa na Winie Mayao.Walioketi Lebert Bunce,Dr.Muhammed Seif Khatib, Doreen Bangapi na Ramadhani Senda.
Waliosimama kutoka kushoto Mwita Mwaikenda,Ramadhani Tuwa, Alice Mbelwa na Winie Mayao.Walioketi Lebert Bunce,Dr.Muhammed Seif Khatib, Doreen Bangapi na Ramadhani Senda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...