Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Upendo
Njogolo (kushoto), akizungumza na baadhi
ya wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Zakhem Dar es Salaam, kuhusu kampeni inayoendelea ya
akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia
washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku
wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
Ofisa
Mauzo wa Benki ya NBC, Evansia Kassuma (katikati), akizungumza na baadhi ya
wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Zakhem, Mbagala nje kidogo ya Jiji la
Dar es Salaam jana, kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki
hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila
mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa
taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
Waendesha bodaboda wa eneo la
Kimara, Dar es Salaam wakimsikiliza Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Upendo
Njogolo (kushoto), wakati akizungumza
nao kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni
hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari
aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs
milioni 1 kila mmoja.
Wachuuzi wa mboga mboga nao wakisikiliza kwa
makini jinsi wanavyoweza kubadisha maisha yao kiuchumi mara watakapojiunga na
akaunti aya Malengo ya NBC. Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC inafanyika
nchini kote ambapo washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki
Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila
mmoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...