Watalaam wa zao la korosho  wakiangalia ubora wa korosho  na kuziweka katika madaraja ili kuingia  katika ghala la Mkuranga baada ya kuchambuliwa na kuandaliwa.
 Akina mama wa Wilaya ya Mkuranga wakichambua na kuandaa  Korosho ili ziweze kuwa na ubora kwa ajili ya kwenda kuzihifadhi katika ghala la Mkuranga. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hatuna business kuzingatia hali ya safi katika kutayarisha hizo korosho zetu: zitandazwe kwenye meza, wafanyakazi wavae glovu na wasizikalie. Maandizi hayo ni kati ya matangazo ya biashara, has a kwa nchi za nje.

    ReplyDelete
  2. Oops! Hapo juu, neno business lisomeke budi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...