Watalaam wa zao la korosho wakiangalia ubora wa korosho na kuziweka katika madaraja ili kuingia katika ghala la Mkuranga baada ya kuchambuliwa na kuandaliwa.
Akina mama wa Wilaya ya Mkuranga wakichambua na kuandaa Korosho ili ziweze kuwa na ubora kwa ajili ya kwenda kuzihifadhi katika ghala la Mkuranga. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
Hatuna business kuzingatia hali ya safi katika kutayarisha hizo korosho zetu: zitandazwe kwenye meza, wafanyakazi wavae glovu na wasizikalie. Maandizi hayo ni kati ya matangazo ya biashara, has a kwa nchi za nje.
ReplyDeleteOops! Hapo juu, neno business lisomeke budi
ReplyDelete