Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet
Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka nchi ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri
kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa
pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili
pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo, alipotembelea ofisi za
Wizara hiyo mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet
Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri
kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa
pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili
pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo alipotembelea ofisi za
Wizara hiyo mjini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk.
Aloyce Nzuki na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Tutubi Mangazeni.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,
Dk. Aloyce Nzuki akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka Oman mwenye asili ya Tanzania
ambaye amesafiri kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika
Tanzania kwa pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi
hizo mbili pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo alipotembelea
ofisi za Wizara hiyo mjini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet
Hasunga.
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kulia) na Maher Al Barwani, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala, Tutubi Mangazeni.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...