Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akizungumza na wakazi wa kata ya Sing’isi alipokuenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi ya muwekezaji
Sehemu ya wananchi wa kata ya Sing’isi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Diwani wa Seela-Sing’isi Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Penzila Pallangyo akimueleza Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula kuhusu mgogoro wa ardhi wa eneo la kata ya Sang’isi.
Maofisa kutoka Wizara ya Ardhi na Kanda ya Kaskazini wakifuatilia mkutano baina ya wananchi wa kata ya Sang’isi wilaya ya Arumeru na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...