WAZIRI
wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha
Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa
mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili na kuopitisha
kiasi cha shilingi 73,071,273,632 iloi wizara iweze kutumiza majukumu
yake.
Waziri,
Lukuvi ameliambia Bunge kuwa katika mwaka wa fedha wa 2018/19 wizara
inataraji kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 120 kutokana na kodi,
tozo, na ada mbalimbali za zinazotokana na shughuli za sekta ya ardhi
kwa kutekeleza mikakati ambayo wamejiwekea.
Msemaji wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili na Utalii, Halima Bulembo akisoma taarifa ya Kamati Bungeni leo.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akijadili jambo
na Naibu Waziri wake, Dk. Angelina Mabula Bungeni leo.
Wabunge wakiwa Bungeni jijini Dodoma leo .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...