Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM ,Dk Ally Bashiru akimsikiliza Afisa Matekelezo wa NSSF Kassim Mfunda aliyekuwa akitoa maelezo na taratibu namna ya wanachama wanavyoweza kujiunga na shirika hilo na kujipatia huduma mbalimbali zikiwemo za Mafao.
Afisa huduma kwa wateja Riziki Kibwasali akimpatia zawadi Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Ally Bashiru ,pembeni yake ni Afisa Uhusiano wa NSSF Angella Msangi.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade) ,Edwin Rutegaruka akishuhudia tukio hilo
Afisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF Angella Msangi akitoa maelezo ya huduma mbali mbali zinazofanywa na shirika hilo kwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dk Ally Bashiru alipotembelea kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea jijini Dar es salam,pembeni ni Afisa mkuu matekelezo kitengo cha Hiari,Abas Cothema
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...