Kiongozi
wa mbio za mwenge Charles Francis amegomea kuzindua jengo la Zahanati
ya Mkoroshini (pichani) ilioyopo Msasani jijini Dar es Salaam kutokana
na kutokidhi viwango vya ujenzi vya jengo hilo.
Vilevile limekuwa na gharama za juu kwenye ujenzi wa jengo hilo ambapo amewataka TAKUKURU kufuatilia suala hilo kwa undani ili kubaini yaliyomo ndani ya ujenzi huo na gharama kwa ujumla.
Vilevile limekuwa na gharama za juu kwenye ujenzi wa jengo hilo ambapo amewataka TAKUKURU kufuatilia suala hilo kwa undani ili kubaini yaliyomo ndani ya ujenzi huo na gharama kwa ujumla.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...