Nd. Innocent Mgeta Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Afisa Udahili Mwandamizi akitoa maelezo juu ya programme mbalimbali za mafunzo zinazotolewa na Chuo kikuu Mzumbe kwa Mzumbe mzazi aliefika kupata huduma hiyo katika Banda la Chuo kikuu Mzumbe kwenye maonesho ya sabasaba
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof Lughano Kusiluka akitoa huduma kwa waombaji waliofika kupata elimu kuhusu Mfumo wa Udahili wa wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaka wa fedha 2018/19. Huduma ya udahili inatolewa katika Banda la Chuo katika maonesho ya 42 ya SABASABA
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof Lughano Kusiluka akikagua baadhi ya vitabu vilivyoandikwa na wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Mzumbe , Kushoto ni Nd. Benjamin Jonas Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Mzumbe katika maonesho ya 42 ya SABASABA.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof Lugano Kusiluka akitoa maoni kwa Nd. Baasha kutoka Idara ya TEHAMA kuhusu Mfumo wa Usimamizi na menejiment ya hospitali za umma “GOTHOMIS” ulioandaliwa na Chuo hicho kupitia mradi wa VLIR-UOS alipotembelea Banda la Chuo katika maonesho ya 42 ya SABASABA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...