Mwanamuziki solo ama anayetumbuiza akiwa peke yake Omary Mkali akitumbuiza kwenye hafla iliyoandaliwa na Ofisi ya Hazina ya Rais John Pombe Magufuli kupokea gawio kutoka kwa wakala, taasisi, mashirika na makampuni ya umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Jumatatu Julai 23, 2018

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...