Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara Tuzo ya Ushindi wa Jumla ya Maonyesho ya Biashara ya 42 ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tan Trade), Edwin Rutaberuka (kushoto) wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara, Tuzo ya Ushindi wa Jumla ya Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam, Julai 4, 2018 Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...