Majadiliano: Viongozi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakijadili jambo wakati wa maonyesho ya 42 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa, kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Habari cha NIC Mwanaidi Shemweta, Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Sam Kamanga,Elisante Maleko ambaye ni Mkurugenzi wa Masoko kulia anayezungumza ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Lastone Msongole
Vigogo wa NIC katika majadiliano:Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Sam Kamanga, Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa NIC Elisante Maleko, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Lastone Msongole na Mkurugenzi wa Bima ya Mali,Aajali na Shehena Romanus Hokororo,ni wakati wa maonyesho ya 42 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa.
Picha ya pamoja ya viongozi wa NIC na wafanyakazi baada ya kunyakua ushindi katika sekta ya Bima na ushindi wa pili katika maonyesho hayo miongoni mwa washiriki wote.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...