Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Ndg. Abubakar Mansoer jana walipokutana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Ndg. Abubakar Mansoer walipokutana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer (katikati) pamoja na Viongozi wa pande mbili hizo walipokutana jana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na ujumbe wake walishiriki katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Mhe.Dkt.Ramadhan Kitwana Dau, pamoja na ujumbe wake wakitoka katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia wakatika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla. Picha na IKULU.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...