Wavuvi wakiondoka kwenda kuvua mapema asubuhi katika kisiwa cha Gana wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza.
Wavuvi wa kisiwa cha Gana wilaya ya Ukerewe mkoni Mwanza wakielekea maneno mablimbali ya ziwa Victoria kwenda kuvua. Wameiambia Michuzi blog kwamba upatikanaji wa samaki kwa sasa ni mwingi kutokana na operesheni ya Uvuvi haramu unaoendelea umeweza kusaidia samaki kuwa rahisi kuwapata kutokana na kutokuvuliwa kabla ya wakati wake. (Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...