
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge
la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Ugeni huo ulioongozwa na Naibu Spika wa Bunge la Kenya,
Mhe. Moses Cheboi (kulia kwake).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02
Agosti 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni
Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi, Mhe. Farhiya Haji
(kushoto) na Mhe. Wafula Wamunyinyi

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya
ya Bahi Mteule, Mhe. Mwanahamisi Mukunda alipomtembelea leo tarehe 02
Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya
Bahi Mteule, Mhe. Mwanahamisi Mukunda alipomtembelea leo tarehe 02
Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kwa ajili ya
kumpongeza na mazungumzo mafupi.(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
HABARI ZAIDI BOYA HAPA>>>>>
HABARI ZAIDI BOYA HAPA>>>>>
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...