Wakaazi
mbali mbali wa Mkoa wa Simiyu wakipatiwa huduma na mtoa huduma waTigo,
Emmanuel Pius katika harakati za kununua simu za mkononi zinazotolewa
kwa punguzo la bei na kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya
Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo
katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu.
Sehemu ya Wakaazi mbali mbali wa Mkoa wa Simiyu wakipatiwa huduma huduma kutoka kwa wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane
yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya
Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...