Wajasiria mali wakiwa wameweka biashara katika miundombinu ya DART Kimara jijini Dar as Salaam.
Kamera Globu ya jamii leo imenasa wakazi wa jiji Dar es Salaam wajasiriamali maarufu kama machinga wakiwa mameweka biashara zao katika enao Kimara kwenye miundombinu ya (DART) huku pakiwa na kibao kinacho zuwia kufanya biashara katika eneo hilo.
Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii.
Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...