Wafanyabiashara wa nyama katika Machinjio ya Vingunguti wakianda nyama kabla ya kuuzwa kwa wafanyabiashara mbalimbali waliofika machinyioni hapo, ambapo kilomoja ya nyama ya Ng`ombe huuzwa kati ya shilingi 5,000 mpaka 7,000.picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
wafanyabiashara wa nyama katika machinjio ya Vingunguti jijini Dar es Salaam wakisubili wateja wanaotoka sehemu mbalimbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...