BENKI ya NMB leo imefanya
kongamano la mafunzo kwa mawakala mbalimbali wanaotoa huduma za kibenki
kwa wateja wa benki hiyo, lengo likiwa ni kuboresha huduma zake na
kuwajengea uwezo wa kibiashara mawakala hao.
Akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika Sinza jijini Dar es Salaam, Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd alisema benki hiyo itaendelea kuwajengea uwezo mawakala hao kwani wao ni sehemu ya benki hivyo huduma zao zinatakiwa kufafana na zinazotolewa kwenye matawi yao.
Aliwataka kuendeleaa kutoa huduma kwa uaminifu kwa wateja na kuzingatia taraatibu walizopewa na Benki ili wateja wanaowahudumia waendelee kuiamini benki yao. Aliongeza NMB itaendelea kuboresha huduma zake na kuendelea kuwa kinara katika sekta ya fedha nchini.
Katika kongamano hilo la kuwajengea uwezo mawakala wa NMB ikiwa ni muendelezo wa semina hizo nchi nzima, NMB imetoa zawadi na vyeti kwa mawakala wanaofanya vizuri katika kutoa huduma kwa wateja ili kuwapa motisha ya kuendelea kufanya vizuri.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (kulia) akimkabidhi mmoja wa mawakala wa Benki ya NMB cheti kwenye semina ya mawakala wake wanaotoa huduma za kifedha maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd akizungumza na mawakala wa Benki ya NMB walioshiriki kwenye kongamano la mawakala wake wanaotoa huduma za kifedha maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.

Sehemu ya mawakala wa NMB waliohudhuria kongamano hilo wakionesha vyeti vyao mara baada ya kukabidhiwa.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...