Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke akiwa katika Picha ya pamoja na Wabunge ambao ni wajumbe wa Chama cha urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma. Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke akizungumza na Wabunge ambao ni baadhi ya wajumbe wa Chama cha Urafiki wa Kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Nchi ya China alipokutana nao leo Bungeni Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...