MGENI Diwani wa Kata ya Goba, Muslima Mwenda akikata utepe kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori wakati wa uzinduzi wa mradi wa mfano wa usimamizi wa maji mtiririko, kwenye Shule ya Sekondari Kinzudi, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Pamoja naye ni Mratibu wa Mradi huo, kutoka Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Wilbard Kombe (kulia), Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Saimon Mpyana (wa pili kulia), Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Given Mhina (kushoto) na Wataalam kutoka ARU na Halmashauri za jiji hilo. Mradi huo umedhaminiwa na Shirika la Maendeleo la Denmark (DANIDA) na kutekelezwa na wataalam wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU). (Imeandaliwa na Robert Okanda) |
Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Given Mhina (kushoto) akimpatia maelezo Mgeni Rasmi, Diwani wa Kata ya Goba, Muslima Mwenda alipotembelea maeneo mradi wa mfano wa usimamizi wa maji mtiririko, kwenye shule ya Sekondari Kinzudi ulivyotekelezwa katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Disemba 18 2018.
Mhadhiri Msaidizi wa ARU, Given Mhina (kushoto) akimpatia maelezo Mgeni Rasmi, Diwani wa Kata ya Goba, Muslima Mwenda namna mfumo wa uvunaji wa maji ya mvua na jinsi yanavyoweza kutumiwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kinzuri baada ya kuzindua mradi wa mfano wa usimamizi wa maji mtiririko, kwenye shule ya Sekondari Kinzudi, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Disemba 18 2018. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>> |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...