Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Samaki la kimataifa Feri wakiendelea na shughuli zao mbalimbali katika soko hilo leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG).
Mchuuzi wa Samaki wa soko la Samaki feri akimkata kata samaki aina ya Songoro kwa ajili ya kupeleka mtaani kuuzwa.
Wajasilimali katika Soko kuu la samaki la kimataifa Feri jijini Dar es Salaam wakitayarisha Samaki kwa lengo la kuwauza kwa wateja mbalimbali watakao fika katika soko hilo.
Wafanyabiashara wa Samaki wa soko la Samaki la kimataifa Feri wakipara Samaki
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...