Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza kufungua mkutano wa Kazi wa Siku Tano wa Maafisa hao , Machi 18, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungau Mkutano wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungau Mkutano wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku tano wa Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini wakimsikiliza, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipofungua mkutano wao wa siku tano kwenye ukumbi wa Benki Kuu
jijini Mwanza, Machi 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi , Afisa wa Mawasiliano wa NSSF,
Lulu Mengele, Cheti cha Shukuruani kwa udhamini wa NSSF wa Mkutano wa
Kazi wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini alioufungua kwenye
ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. Kushoto ni Waziri wa
Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha shukurani ya
udhamini wa Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini,
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Masanja Kadogosa
baaada ya kufungua Mkutano wa siku tano wa Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini, Kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi
18, 2019. Kushoto ni Waziri wa Habari, Umaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.
Harrison Mwakyembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kaimu Mhariri Mtendaji wa
Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari Leo (TSN), Tuma Abdallah
cheti cha shukurani ya udhamini wa Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa
Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisindikizwa na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kufungua
Mkutano wa Kazi wa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikalini kwenye
ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Machi 18, 2019. Kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza, John Mongela. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...