Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi baadhi ya taulo za kike kwa mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga kwa ajili ya kugawa kwa wanawake wa wilaya hiyo hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Sherehe hizi ziliandaliwa na taasisi ya T-Marc Tanzania chini ya mradi wa Hakuna wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa kudhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation.
Meneja wa Vodacom mkoa wa Lindi, Omary Kilumanga akikabidhi taulo za kike kwa wanawake wa Lindi hivi karibuni kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani chini
ya mradi unaotekelezwa na taasisi ya T-Marc Tanzania wa Hakuna
wasichoweza unaotoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana kwa udhamini wa
Vodacom Tanzania Foundation.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...